Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari Je maumivu makali ya nyonga ni dalili ya awali ya uchungu?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 780
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nnajisikia tumbo kwa chini maumivi upande wa kushoto mda mwingine kama gumu hvi maumivi yanaenda hadi korodani upande wa kushoto na mshipa ule unaoshikilia korodani ya kushoto unaumaa hadi ngozi ya korodani inakuwa nyepesi hadi inanata kwenye mapaja
Nina shida naumwa tumbo upande wa kushoto
Kujaa kwa mate mdomoni kunaxababixhwa na nn Na kujaa kwa ges 2mboni ni dalili ya nin
Samahan naomba kujua wakat wa kukojoa matone ya mwanzo yanatoka na usaa kidogo hii Ni dalili ya ugonjwa gani?
Je, keloids husababishwa na upungufu wa vitamin D na njia ya kutibu au kuondoa keloids Ni zipi
Habari ya saa,Naomba kujua mke wngu ana mimba ya mwezi mmoja sasa ila akivua chupi yake huwa na ute ulio changanyik na damu kiasi ,hii ni dalili gan naomba msaada