Swali #257
10-02-2023 08:20:39
<p>Habari mm ni mjamzito na nina wiki mbili nazihisi hizo dalili zote kumi ulizoolozesha ila pia nina wiki moja maji yanatoka ukeni je ni sawa na leo ndo cku yangu ya makadiliyo ya kujigungua ila nimemka Sina dalili yoyote ya uchungu napata na mawazo naomba nisaide nifanye nn</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 257