Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je kuwashwa ukeni ni dalili za mimba
Kuwashwa ukeni ni dalili ya fangasi. Unatakiwa ukae kama wiki tatu ili uweze kupima mimba. Ama baada ya kukosa soko zako hapo ndio muda sahihivkupima mimba.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mimi nna tatizo la Ngozi kuwasha na nnapojikuna mahali panapo washa Panatoka uvimbe mdogo mdgo Kisha baada ya Muda mfupi kupotea Nazo Ni dalili za minyoo!?
Samahn mm nko naujauzito lkn vyakula vyote ckuli yaan nkikula natapik hata matunda nayatapik nifany nn ati
Naam inawezekan Mtu kupungua uzito kwa sababu ya msongo wa mawazoo??
Asante nimeipenda nakala yenu lakini kivipi mwanamke wakati wakati wa tendo tumbokumuuma isababishwe na mimba
ukichanganya majani ya muarobaini, karafuu,na thaumu kisha ukavitwanga inaweza kutibu jino
Naumivu ya tumbo kwa meenye mimba ya mwezi mmoja hutokea juu ya kitovu ama chini ya kitovu?