Swali #291
12-02-2023 12:15:15
<p>Ninamiaka 23 ni mwanamke tatizo langu ni kwamba tumbo linaniuma sana yani kama kunakitu kinanikwangua vile tumbon kunamda linaacha lakinii nikila chakula linaniuma sana yanaa halafu linatulia linakuwa linauma kwa mbalii</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 291