Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habalì naomba niuliźe mimi nimeng'atwa na nyoka lakini meno yake hayajatoka
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 267
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari me ni msichan mwenye umri wa miaka 22 swali langu ni kwamba ni kitu gan kinachosababisha maumivu ya chini ya tumbo wakati wa kujamianaa???
Nina miaka 29 mi Ni mwanaume swali langu nliumwa vidonda vya tumbo soon nkatbiw lkn mdomo kweny lips zinakauka Mara kwa Mara j Inaweza kua n viashiria gan???????? Pli j unawez kusex n mtu mwathiriak hlf usipate maambukiz??
Mimi ni mama nnae nyonyesha mwanangu ana miezi 3, najisikia kuumwa tumbo na uchafu unatoka wa kama damu ambayo haijakolea na kiuno pia kinauma
Naomba nisaidie kujua kama kuna madhara ya kutumia tangawizi kwa mtu mwenye vidonda vimsvyoanza
Ni chakula kipi kinafaa kuliwa na mgonjwa wa kisukari asubuhi?
Je ukijitwaharisha usiku alaf uamke kuswali asubuh utoke na vitone vya damu je inaswihi kuswali au hadi ujitwaharishe upya?