Swali #1286
24-05-2023 07:34:31
<p>Mimi ni Binti wa miaka 24 ,Niko na mchumba ila ni Wa dini nyingine yaan christian nimejaribu kumshawishi na Kwa kiasi Fulani anakaribia kuelewa juu ya uislam , swali langu ni kwamba ni Kwa namna gani naweza mshawishi zaidi na vitu gani nifanye baada ya yeye kukubali kuwa Muslim? Assalam aleykhum!</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1286