Pata jibu kamili kuhusu swali lako
chango husababishwa na nini....?na tena kuna dawa yake?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 750
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nilitumia contraception after sex baada ya twelve hours bt ninaona matone ya damu kidogo kidogo kunauwezekano nimepata mimba?
Nauliza docter katika matunda haya yote pamoja na mbegu sijaona binzari manjano pamoja na mbegu za mastaferi kaziyake na mbegu za ukwaju ahsante sana docter kwa darasa lako mwenyezimungu atawalipa
Habari hongera kwa majukumu naomba msaada kwa mtu mwenye saratani ya shingo ya uzazi atumie vyakula gani
Ninasuali unaweza ukawa umepitiliza siku zako kwamuda wa siku 11 na ukapima ujauzito usioneshe je unaweza ukawa ni mjamzito naomba kujua
Habari naomba niulize mtu mweny presha akipewa daw ndo anakunywa miaka yote? Au itakapo kaa sawa anaweza acha dawa nakupunguza chumvi na mafuta
Bibi yangu ako na ujauzito na mtoto amenyamaza hachezi pia heart beat yake hatuisikii