Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Asante na kama ukipata haja kabwa au ndogo na ukastanji ni lazima kuchukua udhu tena ?
Ndio ni lazima uchukuwe udhu endapo utahitaji kufanya mambobyanayohitajibuwe na udhu. Kwa mfano:
1. KKuswali
2. Kusujudi
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je naruhusiwa kuchinja nikiwa nimefunga ramadhani?
Nilikuwa naomba kijuwa uwo utawala wa banu umayyah ulikuaj hadi kuondoka kwake
asalam aleykum nataka kuhuliza mwanamke mwenye hedhi anaruhusiwa kusoma quran aliyo hifazi kichwan mwake yan bila kushika msahafu
samahani mimi nilikuwa mkirst nimeslm kuwa muisalm nimeolewa je nahitaji kujuwa kila swal inalaaka ngap samahani
Ni ipi Tofuti kati ya kusimamisha swala na kuswali
Asalam aleykhum , swala za sunnah huswaliwa baada ya swala za faradh au kabla ?