Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Waalykum salaam,
Endapo ana uhakika kama hajapata na mambo ya kutengwa udhu, anaruhusiwa kuswali. Kwa mfano kama udhu wa alfajiri haukutenguka unaweza kuswali nao swala ya Isha. Ila je una uhakika kama kweli.
Hata hivyo kuchukuwa udhu ni bora zaidi kwani kuna dhawabu na unafutiwa madhambi kwa kila tone la maji ya udhu