Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nataka kujua jinsi yakujua swala wakati wakuswali
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 886
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Naomba kufaham historia ya imamu shafii na kitabu chake cha usul al-figh
Asalam aleikum Mimi nna swali nataka hoja zinazo thibitisha kuwepo siku ya mwishoo Kwa ushahidi wa ayaa?
Nna umri wa miaka 32 jinsia yangu ni Mwanamke, nilikua nauliza ni haram kunyoa nywele kwa kizuka siku ya 40 baada ya kufiwa
Au mpaka inapofikia miezi 4 na siku 10 ndio anyoe ?
asalam aleykum samah naomba kuuliza,endapo nimemkuta imamu anaswalisha ile nimefika tu akarukuu na mimi nikarukuu je nitaesabika niko nae sawa kama ni swala ya adhuhuri.
Je damu ya vidudu vidogo vidogo ina toa udhu mfano kama damu ya mbu nk
Ikiwa mke ana Tatizo la kiafya ambalo linapelekea kutoweza kushiriki tendo la ndoa na mumewe. Kuepuka dhambi za kuzini Mumewe akawa anapitisha pitisha uume wake Katika matako ya mkewe bila kugusa tundu la haja kubwa la mkewe akawa anahisi hisi joto mpaka mume anamaliza haja yake (anakojoa). Je, Sheria katika uislamu inasemaje katika suala hilo.