Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Asalam aleykum,, samahan naomb kujua nini nifanye napokumbka marehemu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 144
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Mimi nna suali kuna mtu kafa alizaa mtoto mmoja mtoto wa kiume kafa kabla ya mama . Baadae mama kafa hana mtoto mwengine ila kuna wajukuu wa mtoto wake huyo mmoja wa kiume aliyekufa na pia kuna dada yake baba mmoja hao tuu ndio waliomzunguka wakaribu wengine ni watoto wa dada zake jee mirathi hapo inakuaje?
Samahn,,ati ni mwaka wa ngapi ilifaradishwa funga?
Je inafaa kuchoma sindano wakati umo kwenye funga?
Je tende faida gan mwilini.?
Ninapo fanyia kazi niwa kristu mana nyumba nzima ime zunguukwa na misalaba na biblia je inaswihi kuswali katika nyumba hiyo
Swalat haja inaswaliwa vipi? Samahani.na muda mzuri ni upi rakaa ngapi ? Dua au sura ipi?