Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari samahani naomba kujua historia ya Lebanon juu ya uislamu?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 606
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
ikiwa marehemu kaacha mke mmoja na watoto watano wakiume na wakike wawili hawa mgawanyo wao upo vipi
Asalam ALEYKUM,,,Ninahoji kitu ki1" " ktk mawaidha flani ,shekh alitoa namna ya kuoga,(Janabah) shekh asema nivizuri ukaanza na kutawadha kwanza ndipo uonge,,Sasa iweje nianze na kutawadha Ndipo nioge,AMA kuna namna sijamwelewa,kwasbb sasa kila 1 awa Mtoa mawaidha kadri anavyojua yeye, asante,,Asalam
Samahn,,ati ni mwaka wa ngapi ilifaradishwa funga?
Naomba nifundishwe jinsi yakunuwia swala ya ijumaa
Bilali alikkuwa swahaba wa kipind Cha Nabii Gani?
Asalam alykum nikuwa nauliza ety vifungu vya faradhi ni vingapi?