SWALI

Asalaam Alykum Nilikuwa Naomba Kujua kama mtu umepewa talaka tatu kwa pamoja hapo hpo na akiwa na ujauzito  je hiyo ni sahih au inakuwaje hapo na pia mwanamke akamuondoka kwnye hiyo ndoa yake mpka kajifungua na hakurudi tena kwa mume wangu kwa mda wa miaka miwili ikapita na baada ya miaka hyo mumewe anataka amrejee je kitu gani cha kufanyika hapo

Swali No. 427


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 427 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 21-02-2023-03:58:30 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA