Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa
SURA YA 11
MADD (Al-Maddul-Far-โiy)
Al-Maddul-Far-โiy
ุงููู
ูุฏูู ุงููููุฑูุนู - Al-Maddul-Far-โiy
Madd ambayo hutegemea sababu nyengine ima iwe hamzah au sukuwn ili iweze kurefushwa kuvutwa kwake kuishinda ู
ูุฏู ุงูุทููุจููุนู (maddutw-twabiyโiy) na hiyo sababu ya nje. Imeitwa โAl-Far-iyโ (tawi) kwa sababu madd hizi sio za asili bali zimechipuka kutoka katika ู
ูุฏู ุงูุทููุจููุนู (maddutw-twabiyโiy) .
ู
ูุฏูู ุงููููุฑูุนูู Maddul-Far-โiy Hugawanyika sehemu mbili kutokana na sababu inayopelekea kuwa madd:
โข Madd kutokana na hamzah
ู
ูุฏูู ุงูููุงุฌูุจู ุงููู
ูุชููุตูู . 1 Maddul-Waajib Al-Muttaswil
ู
ูุฏูู ุงูุฌูุงุฆุฒู ุงูู
ููููุตูู . 2 Maddul-Jaaiz Al-Munfaswil
ู
ู ุฏูู ุงูุตููู ุฉู ุงููููุจูุฑูู . 3 Maddusw-Swillatil-Kubraa
โข Madd kutokana na sukuwn
ู
ูุฏู ุงููุนุงุฑูุถ ูููุณูููููู . 1 Maddul-โaaridhwi lis-sukuwn
ู
ูุฏู ุงู ููู . 2 Maddul-liyn
ู
ูุฏ ุงูููุงุฒูู
. 3 Maddul-laazim
Madd kutokana na hamzah:
ู
ูุฏูู ุงูููุงุฌูุจู ุงููู
ูุชููุตูู . 1 (Maddul-Waajib Al-Muttaswil)
Na inaitwa โWaajibโ kwa kuwa Maqurraa wote wamekubaliana kuivuta zaidi kuliko ู
ูุฏู ุงูุทููุจููุนู (maddutw-twabiyโiy). Na inaitwa โMuttaswilโ kwa kuwepo hamzah na madd katika neno moja. Hukmu yake katika riwaayah ya Hafsw โan โAaswim twariyq Ash-Shaatwibiyyah ni kuivuta ima kwa harakah nne au tano.
2 (Maddul-Jaaiz Al-Munfaswil)
Ni kuwepo herufi ya madd mwisho wa neno, na kufuatiwa na hamzah katika mwanzo wa neno linaloifuatia. Huvutwa haraka nne mpaka tano.
Madd kutokana na sukuwn
ู
ูุฏูู ุงููุนุฃุฑูุถ ูููุณูููููู .. 1 Maddul-โaaridhw lis-sukuwn
Ni kuwepo baada ya herufi ya madd na baada yake sukuwn โaaridhw kwa sababu ya kusimama. Hukmu yake kwa kila qiraa-ah inajuzu kuivuta katika hali tatu:
โข Qaswr (kuifupisha) kama harakah mbili
โข Tawasw-swutw (wastani) harakah nne
โข Twuwl (kurefusha) harakah sita.
2 Maddul-Liyn
Hii ni madd ambayo ni tofauti na madd nyinginezo kwa sababu herufi zake ni tofauti kwani hizo zinajulikana ni โherufi za maddโ ( ุง ู ู ) zinazonasibiana na iโraab katika herufi ya kabla yake. Ama hii inajulikana kuwa ni โHarfulliynโ. Herufi za ุงูููููู (liyn) ni herufi za ู au ู zinapokuwa saakin na kabla yake ni herufi iliyokuwa na fat-hah: รImeitwa ุงูููููู (liyn) kwa sababu ya kutamkwa kwake kwa usahali (ulaini) bila ya taklifu.
ุงูููููู (liyn)Ni kuwepo baada ya herufi ya ุงูููููู na baada yake sukuwn โaaridhw
kwa sababu ya kusimama. Hukmu yake ni kuvutwa harakah ima mbili au nne au sita kwa kila qiraaah
3 Maddul-Laazim
Ni kuwepo baada ya herufi ya madd herufi saakin yenye sukuwn ya asili ambayo inayothibiti wakati wa kusimama na kuunganisha. Maqurraa wamewafikiana katika kuivuta madd hii harakah sita. ู
ูุฏ ุงูููุงุฒูู
(maddullaazim) na huvutwa haraka 6 inagawanyika sehemu mbili:
I. ุงููููููู
ููู Al-Kalimiyy (ya neno)
II. ุงูุญููุฑููููู Al-Harfiyy (ya herufi)
I. ุงููููููู
ููู Al-Kalimiyy (ya neno):
i. ุฃู ู
ูุฏู ุงูููุงุฒูู
ุงููููููู
ููู ุงููู
ูุซููููู Al-Madd Al-Laazim Al-Kalimiyyi Al-Muthaqqal
Huitwa ุงููููููู
ููู (ya neno) kwa vile inatokana na neno. Huitwa ุงููู
ูุซููููู (iliyo nzito) itakapokuja baada ya herufi ya madd herufi yenye shaddah. Itambulike kuwa herufi yenye shaddah asili yake ni herufi mbili zinazofanana; ya kwanza huwa ni saakin na ya pili ni yenye iโraab, hivyo ikatokea idghaam.
ii. ุงููู
ูุฏูู ุงููุงููุฒูู
ู ุงููููููู
ูููู ุงููู
ูุฎููููู Al-Madd Al-Laazim Al-Kalimiyyi Al-Mukhaffaf
Huitwa ุงููููููู
ูููู (ya neno) kwa vile inatokana na neno. Huitwa ุงููู
ูุฎููููู (khafifu) itakapokuja baada ya herufi ya madd herufi saakin isiyo na shaddah kwa maana, hapatoeki idghaam. Katika riwaayah ya Hafsw โan โAaswim hakuna isipokuwa mara mbili pekee katika neno moja tu nalo ni tรธ9!#u katika Swurat
Yuwnus aya 51 na 91
II. ุงูุญููุฑููููู Al-Harfiyy: (ya neno)
ุงููู
ูุฏ ุงูููุงุฒูู
ู ุงูุญููุฑููููู Al-Madd Al-Laazim Al-Harfiyy ni madd inayopatikana katika herufi zilizokuja kwenye mwanzo wa Suwrah 29 za Qur-aan zinazoitwa:
ุงูุญููุฑููู ุงููู
ูููุทููุนุฉ Al-Huruwf Al-Muqatw-twaโah (Herufi zilizokatika) kwa maana zinatamkwa kama herufi za hijaaiyyah. Jumla ya herufi hizo ni 14 ambazo zimeundwa katika ibara kadhaa mojawapo ni:
ุทุฑู ุณู
ุนู ุงููุตูุญู
Baadhi ya hizi Al-Huruwf Al-Muqatw-twaโah zimekariri zaidi ya mara moja na kuzifanya jumla kuwa ni ishirini na tisa:
Herufi hizi zimegawika sehemu nne:
โข Isiyo na madd nayo ni ุงูู) ุง ) Alif -haivutwi kabisa.
โข Madd harakah mbili katika herufi za 1 ุญู ุทูุฑ
โข Madd haraka mbili au nne au sita katika herufi ya ุนูู) ุน ) kwa kuwa
inatekelezwa kwa ู
ูุฏูู ุงูููููู (maddul-liyn)
โข Madd harakah sita katika herufi za ุณููุต ููู
(ุณูู โ ููู โ ูุงู โ ุตุงุฏ โ ูุงู
โ ูุงู โ ู
ูู
)
Imegawanyika katika sehemu mbili:
ุงููู
ูุฏูู ุงููุงููุฒูู
ู ุงูุญููุฑููููู ุงูู
ุซูููููู -Al-Madd Al-Laazim Al-Harfiyy Al-Muthaqqal na ุงููู
ุฏ
ุงูููุงุฒูู
ุงูุญููุฑููููู ุงููู
ูุฎููููู - Al-Madd Al-Laazim Al-Harfiyy Al-Mukhaffaf
Umeionaje Makala hii.. ?
Sira na historia ya Mtume Muhammad s.a.w , sehemu ya 19. Hapa utajifunza maisha ya Mtume kabla ya utume.
Soma Zaidi...Kama tulivyoona kuwa id-ghamu ipo katika aina kuu mbili ambazo ni id-ghamu bighunnah na id-ghamu bighair ghumnah. Sasa hapa tutajifunza makundi mengine ya idhgamu.
Soma Zaidi...Al fiyl ni neno la Kiarabu lenye maana ya tembo. Sura hii inazungumziakisa cha jeshi lenye tembo. Jeshi hili lilikuwa na nia ya kuvunja al qaaba
Soma Zaidi...SURAT AL-FIILSura hii imeteremshwa Makkah na ina Aya Sita pamoja na Basmallah.
Soma Zaidi...Quran (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...ASBAB NUZUL SABABU ZA KUSHUKA AYA NA SURA KWENYE QURAN Quran imeteremka kwa muda wa miaka 23 kidogokido.
Soma Zaidi...Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa
Soma Zaidi...Sura hii iliposhuka ilikuwa kama imekuja kuwasuta Wanafiki waliokuwa wakizungumzahabari za uongo kuhusu jeshi alilolituma Mtume wa Allah.
Soma Zaidi...