picha

Ijuwe Namna ya Kutawadha ama kutia udhu hatua kwa hatua

Ijuwe Namna ya Kutawadha ama kutia udhu hatua kwa hatua

Namna ya kutawadha hatua kwa hatua


1. kupiga msaki
2. kusema Bismillaah na kuanza kuosha viganja vya mikono (mara tatu) -hatua 1
3. Kusukutua na kupandisha maji puani (mara tatu) - hatua 2 na 3
4. Kuosha uso kwa ukamilifu (mara tatu) - hatua 4
5. Kuosha mkono wa kulia mpaka kwenye fundo (mara tatu)
-hatua 5
6. Kuosha mkono wa kushoto mpaka kwenye fundo (mara tatu)
-hatua 6
7. Kupaka maji kichwani- hatua 7
8. Kuosha masikio (mara tatu)- hatua 8
9. Kuosha mguu wa kulia halafu wa kushoto mpaka kwenye fundo (mara tatu)- hatua 9.



Baada ya kumaliza utasimama na kuelekea kibla kisha kuleta dua kamal ilibyoelezwa hapo juu.




                   


Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Fiqh Main: Post File: Download PDF Views 11478

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 web hosting     👉5 ai web app     👉6 Dua za Mitume na Manabii    

Post zinazofanana:

Nguzo za udhu ni sita

Post hii itakufundisha kuhusu nguzo kuu sita za udhu.

Soma Zaidi...
kuletewa ujumbe

(c)Kuletewa Ujumbe na Malaika kutoka kwa Allah (s.

Soma Zaidi...
Haki za viumbe na mazingira

Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
Mambo yanayotenguwa udhu

Post hiibinakwenda kukufundisha mambo ambayo yanaharibu udhu.

Soma Zaidi...