picha

Faida za kula limao

Usiwashangae wanaokula lima, kwa hakika kuna faida kubwa kiafya kula limao, je unazijuwa faida hizo

Faida za kula limao

7.limao (lemon).
Ni katika matunda yenye uchachu na pia huwa na vitamini c vingi sana. Limau husaidia katika kufanya afya ya moyo kuwa madhubuti kwa kuwa husaidia katuka kupunguza mafuta ndani ya damu na kushusha shinikizo la damu.

Pia tafiti nyingine za kisayansi zinaonesha kuwa limau husaidia katika kuzuia ongezeko la uzito mwilini. Pia tafiti nyingine zimeonesha kuwa tunda hiliu husaidia katika kuzuia tatizo la kidney stones yaani mawemawe yanayokaa kwenye figo.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views 12007

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    

Post zinazofanana:

Upungufu wa vitamin C mwilini

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu upungufu wa vitamini C mwilini

Soma Zaidi...
Zijuwe kazi na faida za Vitamini C mwilini

Vitamini C ni moja kati ya vitamini muhimu sana katika kuboresha ufanyaji kazi wa mfumowa kinga mwilini yaani immune system. Katika post hii utakwenda kujifunza kazi za vitamini C mwilini

Soma Zaidi...
Vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo, na vyakula salama kwa vidonda vya tumbo

Makala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.

Soma Zaidi...