Mitume wa uongo
Wafuatao ni baadhi ya wale waliodai utume wakati Mtume (s.
Mitume wa Uongo
Wafuatao ni baadhi ya wale waliodai utume wakati Mtume (s.a.w) akiwepo na baada yake.
Aswad Aus:
Alijitangazia Utume wakati wa Mtume (s.a.w) na aliuawa kwa amri ya Mtume mwenyewe.
Musailama (Al-kadhaab)Alijitangazia Utume wakati wa Abubakari (Khalifa wa kwanza wa Mtume (s.a.w). Waislamu walimpiga vita na kumuua.
Bah au βlla Alijitokeza huko Iran katika karne ya 19 na aliuawa na Waisalmu.
Mirza Gulam Ahmed
Alizaliwa huko India katika kitongoji cha Kadiani katika karne ya 19. Japo alilindwa na serikali ya Kikoloni ya Kiingereza, alipigwa vita na Waislamu kwa maneno na kalamu mpaka uwongo wake ukawa dhahiri kwa waislamu pamoja na kutumia kwake Qur-an hii wanayoifuata Waislamu.
Pia kwa kukosekana mtu aliyekuja na kitabu cha mwongozo kinachofanana na Qurβan angalau kwa mbali, inazidi kutudhibitishia kuwa Mtume Muhammad (s.a.w) ni Mtume wa mwisho na Qurβan ni ujumbe wa mwisho wa Allah (s.w) utakaobakia mpaka mwisho wa ulimwengu.
Maana ya Kuamini Mitume wa Allah (s.w) katika maisha ya kila s iku.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 ai web app π2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina π3 Simulizi za Hadithi Audio π4 Kitau cha Fiqh π5 Kitabu cha Afya π6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Mwanadamu hawezi kuishi bila dini kutokana na vipawa alivyooewa na Allah
Je ni kwa nini mwanadamu hawezi kuishi bila ya kuwa na dini?. Vipawa alivyopewa na Allahni jibu tosha juu ya swali jilo
Soma Zaidi...Haki za kielimu za mwanamke katika uislamu
Haki ya ElimuKatika Uislamu kujielimisha ni faradhi inayowahusu Waislamu wote, wanaume na wanawake: "Soma kwa jina ?
Soma Zaidi...Kujiepusha na kukaribia zinaa
Si zinaa tu iliyoharamishwa bali hata yale yote yanayotengeneza mazingira na kuchochea kufanyika kwa zinaa nayo pia yameharamishwa.
Soma Zaidi...