Chemsha bongo namba 26
19.
Chemsha bongo 26
![]()
![]()
19.Tufaha chumbani
Mwanafunzi mmoja alipewa chemsha bongo. Ndani ya chumba kilicho kitupu waliwekwa watu 10. watu hawa walijipanga kuzunguka chumba, kwa kiasi kwamba wangeweza kukiona chochote kitakachowekwa ndani ya chumba hiko.
Mwanafunzi huyu akapewa tufaha na akaambiwa aliweke tufaha ndani ya chumba kile chenye watu kumi, kwa namna ambayo mtu mmoja tu ndio hatakiwi kuliona tufaha. Unadhani ni wapi angeliweka tufaha hili?
Jibu
Angeliweka juu ya kichwa cha mmoja wapo
Umeionaje Makala hii.. ?
Author:
Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23
Topic: Chemshabongo
Main: Post
File: Download PDF
Views 3369
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 kitabu cha Simulizi
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 kitabu cha Simulizi