Chemsha bongo namba 10

Chemsha bongo namba 10

7.

Chemsha bongo namba 10

Chemsha bongo 10

imageimage
7.Tujikumbushe kidogo na hii
Mtu mmoja alikuwa akitokea shmba. Kwa bahati mbaya mvua kubwa akamnyeshea. Akiwa hana mwavuli wala jacketi ama kiti chochote cha kumkinga na mvua. Hivyo alitota sana. Jambo la kushangaza alitota mwili mzima lakini hata nywele yake moja kichwani haikutota. Unadhani inawezekanaje?


Jibu
Kwa sababu alikuwa na kipara.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Chemshabongo Main: Post File: Download PDF Views: 3128

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 ai web app     👉4 web hosting     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 Bongolite - Game zone - Play free game    

Post zinazofanana:

game

Karibu kwenye uwanja wa Game.

Soma Zaidi...