Toroka gerezani

Toroka gerezani

utaokoka vipi gerezani?

Toroka gerezani

Jibu la swali

imageimage

Kwa kutumia chepe alilo nalo anaweza kuchimba udongo na kuukusanya. Udongo huo ukiwa mwingi ataweza kuuparamia na hatimaye kulipata dirisha kwa urahisi. Ukuta ni mrefu lakini kwa kuwa nje kuna bahari. Ataweza kuruka kupitia dirishani na kuingia baharini, kwa kuogelea ataweza kuokoka kwa urahisi bila ya kuumia.

Endelea kupata chemshabongo zaidi kwetu.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Chemshabongo Main: Post File: Download PDF Views: 1762

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 web hosting     👉4 Bongolite - Game zone - Play free game     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zinazofanana: