Kitunguuu thaumu ni muhimu sana katika afya yako, je unazijuwa faida hizo? njoo pamoja nami
13.kitunguu saumu. Watu wamekuwa wakitumia kiungo hiki kwa kupikia toka enzi za mababu. Halikadhalika kiungo hiki kimekuwa kikitumika kama dawa kwa karne nyingu, maeneo mengi duniani. Utafiki unaonesha kuwa katika kitunguu saumu kuna ‘allicin’ hii husaidia katika kuimarisha mfumo wa kinga katika kupambana na maradhi mbalimbali. Tumia kiungo hiki kwa kupikia. Pia unaweza kutafuna punje zake. Watu wenye maradhi mablimbali wamekuwa wakitumia kiungo hiki na kuona mafanikio.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inaonyesha Faida za vitunguu swaumu.vitunguu swaumu sio kiungo Cha chakula tu kama desturi ya watu wengi wanavyojua Bali kitunguu swaumu kimesimama Kama dawa pia ya kutibu maradhi na Magonjwa mengi mwilini.
Soma Zaidi...MADHARA YA KIAFYA YANAYOHUSIANA NA MINYOO Tofauti na madhara ambayo tumeyaona huko juu kwenye dalili kama maumivu ya kicha, tumbo na miwasho, kichefuchefu na kutapika.
Soma Zaidi...Posti hii inajihusisha jinsi gani wanadamu wa kwanza walivyoishi na mwenyezi Mungu apo zamani.tunaona kuwa vitabu vinatuambia vya dini vinatuambia Mungu amemuumba mwanadamu kwa mikono yake mwenyewe.lakini kisayansi tunaona kwamba mwanadamu ametokana na wa
Soma Zaidi...njia ya kuchagua dawa itumike inategemea mambo mawili ambayo ni:Kutegemea dawa: Maandalizi yaliyopoInategemea hali ya mgonjwa: Dharura au kutowezekana kwa ulaji kwa baadhi ya njia ya utawala wa dawa ni njia ya ambayo dawa au dutu nyingine huletwa na mwi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa yanayosababisha madhara kwenye mapafu na kitaalamu hujulikana Ugonjwa wa Acute Respiratory Distress Syndrome (ARDS) hutokea wakati Majimaji yanapojaa kwenye vifuko vidogo vya hewa nyororo (alveoli) kwenye mapafu
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukufundisha mambo mbalimbali na muhimu kuhusu afya ya uzazi
Soma Zaidi...Kukatika kwa nywele kunaweza kuathiri tu kichwa chako au mwili wako mzima. Inaweza kuwa matokeo ya urithi, mabadiliko ya homoni, hali ya matibabu au dawa. Mtu yeyote wanaume, wanawake na watoto anaweza kupoteza Nywele.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kupiga punyeto, ni madhara yanayotokea kwa watu wanapenda kupiga punyeto.
Soma Zaidi...