TAMBUA FAIDA NA ATHARI ZA MICHEZO POSti hii inahusu kwenye michezo na burudani.michezo ni kile kitu ambacho unakifanya kwa ajili ya kujifuraisha wewe mwenyewe.pia na watu waliokuzunguka.tukiangalia michezo anaweza kucheza mtu yeyeto yule kwa sababu michezo haina ubaguzi.