TAMBUA FAIDA NA ATHARI ZA MICHEZO


image


POSti hii inahusu kwenye michezo na burudani.michezo ni kile kitu ambacho unakifanya kwa ajili ya kujifuraisha wewe mwenyewe.pia na watu waliokuzunguka.tukiangalia michezo anaweza kucheza mtu yeyeto yule kwa sababu michezo haina ubaguzi.


ZIFUATAZO NI FAIDA ZA MICHEZO NA BURUDANI KATIKA JAMII.

  1. Kulingana na hapo awali tulivyoeleza kuhusu michezo kwamba kila mtu ana haki ya kufanya mchezo wowote uke katika jamii ili uweze kuelimisha na kufurahisha katika sehemu husika .tukiangalia michezo inatuweka pamoja na kujuana katika hio sehemu.pamoja na hii michezo utuweka pamoja kwa undugu ili tuweze kutambuana pia na kuweka umoja katika jamii husika .tukiangalia katika michezo mfano,mpila wa miguu na wa Pete watu wanakuwa wana umoja wanapendana hii inapelekea kuwa na kufanya kitu kimoja dawa katika ilo eneo lao.pia huo undugu na urafiki kupitia michezo unaendelea kizazi na kizazi.hivyo hivyo serikali inabidi iweke watu kujuana kupitia michezo .           

            2.michezo inatupatia kipato ,kutokana na hapo mwanzo tulivyosema michezo uweka bayana Kati ya watu wawili au zaidi .pia michezo inatupatia kipato katika jamii .tukiangalia hii inatokana na pale mfano tuangalie mpila unaochezwa au ligi juu ya tanzania  ya wanawake na wanaume.pale mchezaji anapokuwa anaitumikia timu hio .kwahiyo tunaona kwamba michezo ni muhimu sana katika jamii.kutokana na hilo icho kipato wanachokipata kinakuwa kinazidi kuwashawishi watu wapende michezo na ili waweze na wenyewe kujipatia hicho kipato kupitia katika mpila.kwahiyo tunaona jinsi gani michezo ina faida.

3.michezo inatuweka sawa kiakili na kimwili.tukiangalia michezo uweka manitiki bola pale kwa watu wanapokuwa kwenye shughuli zao kuliko yule ambae apendi michezo kwa sababu akili yake inakuwa sio nyepesi kufumbua jambo.tofauti na yule anaefanya mazoezi .yeye anakuwa mwerewa sana asa asa inashauriwa pia mwanafunzi mdogo anapokuwa shuleni lazima apewe mda wa kucheza ili aweze kuweka akili yake vizuri.pia inamfanya mwanafunzi kuwa bora .mfano tukiangalia asubuhi mwanafunzi au mtu wa kawaida inabidi akimbie mchaka mchaka  kwa ajili ya kuchangamsha viungo vyake vya mwili .michezo pia uleta burudani katika jamii hivyo ni muhimu kucheza mara kwa mara ili kudumisha afya ya mwili .mtu aliyezoea kucheza michezo hashambuliwi na magonjwa mara kwa mara. 

4.pia michezo inatusaidia kujua mambo mbalimbali makubwa.kulingana na hii faida ya michezo kufanya tutambue au tujue mamb mengi.mfano umecheza mpila wa miguu .unaweza kutoka apa tanzania ukaenda nje ya nchi .kule utaenda kujifunza mambo mengi pia na kuona vitu ambavyo ni tofauti na uku mfano tukiangalia bahadhi ya wachezaji wanaokwenda nje ya nchi .kule wanajifunza mambo mengi sana ya kimichezo pia wanakuwa wanaiwakilisha bendera yetu ya tanzania kwamba kulebzulipotoka kuna vipaji vingi.ndo maana sahivi tunaona kwenye suara la mpila wetu limekuwa sana tofauti na uko nyuma .pia unakuwa umeiletea heshima nchini yako ya tanzania .kutoka na hilo pia michezo uweka undugu pale .tunapokuwa tunaona mataifa mengi kuja au kwenda kwa nchi nyingine ile inapelekea bahadhi ya kuongezeka kwabl pato la taifa nchini kwa hiyo tunaona umuhimu wa michezo katika jamii yetu .hivo hivo tunaona michezo kuna uwekezaji mwingi ambao umekuwa chachu ya vijana kuweza kupata fursa .tukiangalia apo mwanzo nilivyosema michezo unakifanya ujue kitu.tukiangalia mfano kuna bahadhi ya watu wamewekeza kwa ajili ya michezo.mfano tukiangalia apa tanzania kuna bahadhi ya team kama azam.imewekeza kwa vijana kwa ajili ya mpila .ambapo huwapa faida vijana .na kujiendeleza kimaisha .tunaona vipi hali ya michezo inakomboa watu hasa vijana katika taifa hili  .pia ni washauri wazazi au walezi kuwapa watoto kipaumbele cha michezo sababu wana  haki ya kucheza manyumbani kwao ata sehemu yeyeto ile katika jamii.

5.pia michezo inawaokoa watoto walio katika makundi mbalimbali.kama vile watu wanaotumia madawa ya kulevya ,watoto wa mitaani,.kama tulivyosema apo awali kwamba michezo ni elimu unafundishwa pia unabirudika.kutokana na hili uweza kuwakomboa watu hao walio katika hayo mazingira.maana itakuwa imeisaidia serikali kupunguza hatari za kuvunja amani katika sehemu.pia hao watu wanaweza kuchanganyikana na watu wenzao wapenda michezo ili na wenyewe waweze kuwa wanapenda michezo ili kuwakomboa eneo ilo.

  ZIFUATAZO NI HATHARI ZA MICHEZO NA BURUDANI.

1.kulingana na hapo mwanzo tulivyoona apa tunangalia mojawapo ya athari za michezo.kwenye michezo kuna athari .kama kuumia bahadhi ya sehemu za mwili.hii tunaona mara kwa mara bahadhi ya watu kuwa katika hali ya michezo wanaumia.tukiangalia mfano kwenye mchezo wa mpila wa miguu.watu wanaumia pia wanapata ulemavu wa maisha ,.kwa hiyo mda mwingine michezo sio ya muhimu kucheza pale unapoona umepata majeraha .hii uweza kupelekea kuwa mlemavu .kwa hiyo watu wasiweze kucheza michezo ya atari ambayo haina faida katika jamii yetu.

2.michezo pia upelekea kifo.kutokana na hili kuwamba ni kweli michezo ni ajari kda wowote waweza kuumia na kupoteza maisha .mfano tukiangalia michezo ya atari kama hii ambapo ni atari kwa maisha ya mwanadamu kama vile, mchezo wa kuendesha vyombo vya moto,mchezo wa kuogelea,mchezo wa kuruka,na michezo mingineyo kutokana na hilo .hii michezo ina uathari kwa mwanadamu .tukiangalia kwa mwendesha gari asipokua makini na mchezo wake pale wanaweza kupata ajari kwa sababu kila siku tunaziona hajali ya gari na pikipiki pale wanapokuwa kwenye michezo  yao .kwahiyo kama wewe ni mtu unapenda michezo jaribu kuangalia michezo ambayo utaweza kucheza.hii yote inatokana na watu kupoteza maisha kufanya michezo wasiiweza na michezo isiyokuwa ndani ya uwezo wao.kama mwanamichezo inakubidi ucheze michezo ambayo utaweza kudumu na kucheza ili uweze kupata furaha sio vifo na ajari .

3.uwepo wa ubaguzi .hii ni mojawapo ya athari kubwa za kimichezo na burudani .bahadhi ya michezo inakuwa inaleta ubaguzi .kama vile ubaguzi wa rangi.ubaguzi kama haujui mchezo flani lazima ubaguliwe.kutokana na hili nibshinikizo kubwa linalopelekea  kuwepo kwa ubaguzi sana .tukiangalia katika michezo kama mpila wa miguu na mpila wa mikono ,kuna ubaguzi mwingi unafanyika inapelekea watu kutoelewana hii inakuwa pia ni athari kwa mwanamichezo tukiangalia nchi zingine uko .kuna viashiria vya ubaguzi wa rangi ambavyo sio vizuri kuwa jamii .katika michezo hivyo vitu havitakiwi inabidi vipigwe marufuku ili michezo uendelee kupendwaa na kufirahi kwa watu wote.

4.athari nyingine kuja kwa wageni .hii inapelekea pale mchezo wenu alafu anakuja mtu au watu kwenye huo mchezo.hii inawanyima sana nafasi wazawa wa eneo hilo .tukiangalia pale mwanzo tumesema michezo ni ajira pia inayoingiza kipato.kwenye mpila wa Pete au miguu .inakuwa inawanyima sana wazawa pale wanapokuwa wamekuja wageni kuja kwa ajili ya huo mchezo piaa hii inapelekea watu kutokuwa wanajiamini .tukiangalia katika maisha yetu mchezo inabidi watu wachanganyikane ila isiwape fursa wageni wenyewe ndo watawale mchezo na hii pia ni mojawapo ya athari za michezo katika jamii zetu husika.

5 .hivyo hivyo michezo inakosa maelewano.hii tunaona bahadhi ya viongozi mfano ikiwepo sehemu flani hivi imeshinda mchezo alafu upnlande mwingine hawajashinda hii inapelekea kutoelewana bahadhi ya watu na kupelekea uasama kutokea katika hio sehemu .pia na kuanza marumbano  katika mchezo pia kutoelewana uko .kunasababisha mchezo kuharibika baada ya kuwa furaha ni ugomvi hio ni mojawapo ya athari ya michezo katika jamii yetu kwahio inatubidi tuwe tunapendana kutokana na michezo bali sio ugomvi.hii itafundisha vizuri watu na waendelee kupenda michezo na sio kuichukia .

 

         

        



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani offline       ðŸ‘‰    2 Tunakukaribisha kwenye Maktaba yetu       ðŸ‘‰    3 Download App zetu hapa ujifunze zaidi       ðŸ‘‰    4 Jifunze Fiqh    


Je una maswali, maoni ama ushauri, tutumie sms ✉ bofya hapa hapa, ama wasiliana nasi kwa WhatsApp bofya hapa



Post Nyingine


image Madhara ya mwili kujaa sumu
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kupatikana ikiwa mwili unaweza kujaa sumu, kwa sababu mwili unapaswa kuwa huru Ili kuweza kufanya vizuri kazi yake ila ikiwa utajaa Sumu Kuna hatari mbalimbali zinaweza kutokea kama vile. Soma Zaidi...

image Fahamu mtindo mzuri wa maisha
Postei hizi inahusu zaidi mtindo mzuri wa maisha, yaani mtu ale ki vipi au afanyeni nini ili kuweza kuboresha afya yake. Soma Zaidi...

image Faida za kula kachumbari
Posti hii inahusu zaidi faida mbalimbali ambazo anaweza kuzipata mtu anayetumia kachumbari, tunajua wazi kwamba kachumbari ni mchanganyiko wa nyanya, vitunguu maji,kabichi,na pilipili kidogo. Soma Zaidi...

image Jinsi ya kutoa huduma ya kwanza kulingana na tatizo
Posti hii inahusu sana mambo ya huduma ya kwanza ambayo huduma ya kwanza inapatikana au inatolewa na mtu yeyote katika jamii . Soma Zaidi...

image Zijue faida za maji ya uvuguvugu.
Posti hii inahusu zaidi faida za maji ya uvuguvugu, hasa hasa maji haya ni vizuri kabisa kuyatumia hasa wakati wa asubuhi na pia wakati tumbo likiwa halina kitu, kwa hiyo zifuatazo ni faida za maji ya uvuguvugu. Soma Zaidi...

image Zijue sababu za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo.
Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo,ni sababu mbalimbali hasa za kiafya kama tutakavyoona hapo mbeleni Soma Zaidi...

image Fahamu antibiotics ya asili.
Post hii inahusu zaidi antibiotics ya asili, ni antibiotics inayotumia vitu vya kila siku na ya kawaida na mtu akaweza kupona kabisa na kufanya kazi kama antibiotics ya vidonge vya kawaida. Soma Zaidi...

image TAMBUA FAIDA NA ATHARI ZA MICHEZO
POSti hii inahusu kwenye michezo na burudani.michezo ni kile kitu ambacho unakifanya kwa ajili ya kujifuraisha wewe mwenyewe.pia na watu waliokuzunguka.tukiangalia michezo anaweza kucheza mtu yeyeto yule kwa sababu michezo haina ubaguzi. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusu kazi za ini.
Posti hii inahusu zaidi kazi za ini, kwa kawaida tunafahamu kwamba ini ni sehemu muhimu kwenye mwili wa binadamu kwa sababu ni.likikosa kufanya kazi yake maisha ya binadamu yanakuwa hatarini kwa sababu mbalimbali. Soma Zaidi...

image Namna ya kufanya ngozi juwa laini
Posti hii inahusu zaidi njia au namna ya kufanya ili ngozi iweze kuwa laini bila kuwa na make up yoyote. Soma Zaidi...