Timu ya simba ina miaka 87 sasa toka kuanzishwa


image


Kutokea kuitwa Sunderland mpaka Simba, timu hii ilianzishwa mwaka 1936


Timu ya Simba ilizaliwa mwaka 1936 na ilishawahi kuitwa Queen kisha ikaitwa Eagles kisha ikaitwa Sundeeland. 

 

Mwaka 1971 timu hii ilipewa jina la Simba,  ambalo ni neno la kiswahili lenye maana ya Lion yaani Simba wa porini. 

 

Mwaka 2022 ilikuwa ndio timu iliyoonyesha wanachama kwenye mtandao wa Instagram kwa haraka zaidi ya timu zote kwa asilimia 89 ukilinganisha na mwaka uliotangulia. 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Tunakukaribisha kwenye Maktaba yetu       ðŸ‘‰    2 Download App zetu hapa ujifunze zaidi       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani offline       ðŸ‘‰    4 Jifunze Fiqh    


Je una maswali, maoni ama ushauri, tutumie sms ✉ bofya hapa hapa, ama wasiliana nasi kwa WhatsApp bofya hapa



Post Nyingine


image Timu ya simba ina miaka 87 sasa toka kuanzishwa
Kutokea kuitwa Sunderland mpaka Simba, timu hii ilianzishwa mwaka 1936 Soma Zaidi...

image Hadithi za alif lela u lela
Haya ni masimulizi ya Hadithi za alif lela u lela Soma Zaidi...