Navigation Menu





HADITHI ZA BABU

picha
HADITHI ZA BABU 13: VITA VYA NYUKI NA MCHWA

Hadithi iliyopata kusimuliwa zamani, kuhusu Nyuki na Mchwa katika Msitu
picha
HADITHI ZA BABU 12: HADITHI YA KUNGURU NA NYOKA

Hii ni hadithi fupi ya Mfunzo kuhusu watu wenye viburi na kutosikiza ushauri
picha
HADITHI ZA BABU 11: JOGOO NA KASUKU

Hadithi hii ina sehemu tatu, kila moja ikijaa mafunzo na matukio ya kusisimua.
picha
HADITHI ZA BABU 10: SUNGURA MPUMBAVU

Hii ni hadithi fupi ambayo inaweza kutoa funzo kuhusu maisha, wakati mwingine unaweza ukajitisha mwenyewe.
picha
HADITHI ZA BABU 09: KIBAKA WA KIJIJI PART 2

tumeishia kuawa Taji anataka kutaja maovu ya Dhamana na kufichua siri ya utajiri wake. Sasa wacha tuone kilichojiri kwenye kikao
picha
HADITHI ZA BABU 08: KIBAKA WA KIJIJI PART 1:

Hii ni sehemu ya kwanza ya hadithi fupi kuhusu kijana mdogo aliyekuwa kibaka wa kijijini.
picha
HADITHI ZA BABU 07: PETE YA AJABU PART 2

Huu ni muendelezo wa hadithi ya pete ya ajabu, na hii ni sehemu ya pili.
picha
HADITHI ZA BABU 06: PETE YA AJABU PART 1

Hii ni hadithi inayohusu Pete yenye maajabu iliyotuwa katika mikono ya Kijana Lemi
picha
HADITHI ZA BABU 05: JAMBAZI LA MANGONI

Hadithi hii inakwenda kuonyesha kwa namna gani jamii inaweza kuwa chanzo na suluhishi kutokana na matatizo ya vijana.
picha
HADITHI ZA BABU 04: YATIMA ALIYE ADHIBIWA

Hiki ni kisa kilichompata kijana yatima aliyekuwa akidharauliwa. KIsa hiki kinatufundisha mengi katika maisha.
picha
HADITHI ZA BABU 03: HAZINA YA KALE

Hii ni hadithi ya kijana aliyyetunikiw utajiri na kunguru wa zamani
picha
HADITHI ZA BABU 02: PANGO LENYE LAANA YA MOTO

Hadithi inayohusu Pango la kale, lenye Hadithi ya kusikitisha.
picha
HADITI ZA BABU 01: KIVULI CHA KUTISHA

Hii ni hadithi inayohusi uwepo wa kivuli cha ajabu katika Kijiji. Kivuli hiki kinasadikika kuwa kinakula watu