Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mim ninaukosefu wa nguvu zakiume, naomba msaada
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 430
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mm sijapata period ni miezi miwili sasa ila ninepima ujauzito kwa UPT negative pia tumbo linauma nikilipobonyeza naomba unisaidie tatiz nini
Me nataka kujua wakati wa kutoa shahada unatamka maneno gani
Kwa kawaida naingia hedhi siku nne ya tano nakuwa namalizia sasa ivi kalibuni nimeingia TU ijumaa juma mos juma pil DAMU ikakata naomba kujua shida ni nini?
Side effects za kula ukwaju ni zipi..?
Dalili za kichwa kuuma na kizungu zungu zina ashilia nn
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28.nina tatizo la kutokwa na maji mengi ukeni muda ninapojamiiana hasa pale ninapokuwa nafika kileleni.yale maji Huwa yananikosesha Raha sana maana mpaka pale nilipolala panaloana .je tatizo hili husababishwa na Nini?