SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #284 12-02-2023 07:30:10

<p>Kujaa kwa mate mdomoni kunaxababixhwa na nn<br /> Na kujaa kwa ges 2mboni ni dalili ya nin</p>

JIBU

kuja kwa mate mdomoni kunaweza kusababishwa na mambo mengi kama vile:-

1. Ujauzito kwa wanawake huwenda nikwa sababu ya mabadiiko ya homomi

2. usafi wa kinywa

3. Bakteria waliopomdooni

4. vyakula

 

Hivyobasi basi kama somjamzito na hali hii inakutokea mara kwa mara, vyema umuine daktari kwa vioimo zaidi. Vinginevyo ikiwa inakutiokea tu wakati wa asubuhi huwenda huna tatiuzo lolote.

MASWALI YANAYOFANANA