Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Umuhim wa historia ya maimam wa fiqhi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 482
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Naomb kuuliza ukiswali witri katika baada ya ishaa vipi unaruhusiwa kuamka usik kwa ajili ya sunna nyingne
Je n mke gani alikufa shaidi enzi za mitume
Assalaam a'laykum warahmatullãhi wabarakaatuh! Shaikh nauliza; ivi inawezekana mke kuslimu na kufunga ndoa ya kiislam siku hiyo?hiyo
Eda ya mwanamke aliyeachwa ni tohara 3, Eda ya mwanamke mjamzito ni mpaka atakapojifungua, Eda ya mwanamke aliyefiwa ni miezi 4 na siku 10, Jee mwanamke aliyefiwa na mumewe huku akiwa na ujauzito itakuaje eda yake?
Je nikitaka kutia mwili wangu udhu wa nifasi je naanzia wapi nafanyaje
Nina swali sheikh nahitaji msaada wa Elimu.
Nimeingia kwenye mgogoro na Mke wangu asubuhi hii kwa kuwa alikuwa akitamka maneno ambayo mimi sitaki kuyasikia kutoka kwake. Nimemuonya mara ya kwanza hakusikia, nikamuonya tena hakusikia, nikamuonya mara ya tatu kwa kumuambia kwamba *"Ukiniandikia tena Maneno haya basi nitakuwa nimekuacha"*. Naye akayaandika tena? Je, hapa talaka imetoka? Na hukmu yake ni ipi?