Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Me nataka kujua wakati wa kutoa shahada unatamka maneno gani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 250
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Kama mtu mzunguko wako wa kawaida .naukafanya tendo la ndoa ukiwa kwenye hedhi utapata mimba?
Mpenzi wanguu alimeza dawa ya kuzuia mimba mara mbili na akatokwa na damu kidogo ikawacha na kwa sasa amepima mimba mara mbili na inaonyesha kuwa hana ujauzito ila leo kaniambia anaskia kuchefukwa na roho je inaweza kuwa ni tatizo gani ama ana ujauzitoo???
Je vidonda vya tumbo vinapona au aviponi kabisa na pia vyakula?
mafua huchukua mda gani kupona
Ningependa kuuliza nimekutana namwanamke kimapenzi bilakutumia kinga baada yasiku 2nikaanza kupata maumivu ya kicwa na sasa wiki inaelekea kuisha nikiwa bado Nina hayomaumivu je inawezakuwa ishala ya maambukizi ya ukimwi?
Nauliza Mimi nipo Zambia Kwa jina naitwa Kennedy kama umeathilika vipimo vinauwezo wa kusoma negative miezi sita