SWALI

Serengeti lager ni kweli haina sukari kama walivyo andika?

Swali No. 434
JIBU

Kiafya alcohol sio nzurikwa mwenye kisukari bila kujali ina sukari ama laa. 

 

Pia ijapokuwa hazina sukari lakini sina glucose kwa kuwa zimetengenezwa na shayiri au ngano bado kuna tatizo. 


Hata hivyo unatakiwa kufanya uchunguzi zaidi unapotumia izo na usipotumia kuna mabadiliko ganiKumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 21-02-2023-12:06:34 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA