Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Samahani nilikua nauliza sunnah na mpangilio wake sijauelewa
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 135
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Jee tunaweza kuangalia wasia anoacha mgonjwa mahututi aliouacha
Mm naomba kuuliza,. Ni kijana gani alieaminiwa na bwana Abu Talib ambae aliemkabidhi mtume s.w.a amrudishe Makka?
Assalam alaykum nauliza je ni dhambi kusoma qur-an ukiwa kichwa wazi
Nataka kujua nini mtazamo wa kikafiri juu ya dini
Naomba kufahamu kunabaadhi y waumini wanaacha swala y faradh wanaswali tarawehe. Je? Hii imekaaje shekh nifafanue
asalam aleykum samah naomba kuuliza,endapo nimemkuta imamu anaswalisha ile nimefika tu akarukuu na mimi nikarukuu je nitaesabika niko nae sawa kama ni swala ya adhuhuri.