Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kwanin uislam unapinga kampen juu ya kudhibit uzazi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 741
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari, samahani, naomba kuuliza ukisha tamka shahada ndo tayari kusilimu ama kuna utaratibu mwingine?
ASALAM ALEIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH Mama mdogo katangulia mbele ya haki. Alizaa mtoto mmoja tu wa kiume na alifariki kabla ya mama. Suali jee wajukuu wa huyu mama wanamrithi. Ana wajukuu 7 wakiume 3 nawakike 4 Pia huyu mama ana ndugu yake wa kike wa baba mmoja vipi na yeye anapata mirathi
Nataka kuuliza historia ya uislamu baada ya kutawafu mtume ni mada ya form ngapi
Naomba kujua tofauti kati y hadithi qudsi na hadithi nabawiy
Je itaondokaje hadathi kubwa kama pakikosekana maji
Nauliza hv unaposwali swala yeyoe kuna dua yake au unaweza soma sura yoyote unayoijua