Swali #372
17-02-2023 16:10:21

Habari pole na majukumu kuna kipindi nilianza kuumwa chini ya kitovu nikaambiwa nina uvimbe nikapewa dawa nikamaliza dose lkn nikawa napata maumivu lkn sio ya kila siku hethi kuvurugika ovyo maumivu makali kipind cha heth nikawa natumia tu dawa za maumivu

Sasa saivi naskia kitu kinacheza tumboni chini ya kitovu na mda mwingine kama kinavutaa nikienda kukojoa naskia maumivu kama kitu kinashuka chini mda mwingine maumivu ya tumbo kama vichomi

Na tumbo lng linaumuka

Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 372