Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Pilipili hutowa ujauzito
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 881
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Fangasi wa uume unatibuje kwa mafuta ya nazi na ni yep yanafananaje
Nimenunua hili tunda zaituni kwanza,nimelionja kwamarayakwanza tangu nizaliwe sijawai kuila baada ya hapo nimegoogle nakwangalia faida zake Nahitaji kujua mengi kuhusu hili tunda
Shida yangu je matiti yangu yananinyima Raha kabisa yaani sipendi kuvaa brazia kwa mda mrefu Ila kutokana na ukubwa wake inanilazimu nivae tu pindi navyoamka naomba Kama Kuna dawa ambayo inaweza kunisaidia bila madhara ,,sijaolewa bado Wala sijazaa
Mm Nina miaka 32 ninamida sasa natumia dawa za ukimwi na cjawahi pata tatizo lolote toka nianze kutumoa na toka nianze kutumia dawa ninazaidi ya miaka SITA Sasa hivi karibuni nimeanza kupata vidonda vya ulimi uja na kuondoka je tatizo linawekua nn
Nilifanya tendon siku ya danger kabsa ila nilimeza p2 je kunauwezekano Wa kupata mimba
Naomba kujua dawa za kushusha pressure nazipatje ninaitaji ninasumburiwa na pressure