Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nilipilengo la swala kwa hoja ya quran na hadithi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1116
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ Jee inafaa kwa mtu mwenye madeni kutoa zakatu fitri?
Assalamualeykum. Ukiswali rakaa ya 3+ 4 unasoma sura gani baada ya AIHAMDU.
Asalaam Alykum Nilikuwa Naomba Kujua kama mtu umepewa talaka tatu kwa pamoja hapo hpo na akiwa na ujauzito je hiyo ni sahih au inakuwaje hapo na pia mwanamke akamuondoka kwnye hiyo ndoa yake mpka kajifungua na hakurudi tena kwa mume wangu kwa mda wa miaka miwili ikapita na baada ya miaka hyo mumewe anataka amrejee je kitu gani cha kufanyika hapo
Asalsm
Alayku.nilikuwa nauliza yafaa kumpa mamamdogo zakatil fitri
Je dini zilianzishwa na nan
Nini kilicho mfanya bukhadija afariki alikuw anaumwa au?