SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #437 21-02-2023 12:24:01

<p>Nikiswalia nyumbani swala zote ni sawa tofauti ijumaa</p>

JIBU

Mwanaume akiswalia nyumbani hapati ujira sawa na yule wa msikitini. Hata hivyo ukiswalia nyumbani swala inakubaliwa

MASWALI YANAYOFANANA