SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #579 02-03-2023 12:11:00

<p>Miyezii tisaaa kamili tenaa tarehe niloandikiwa sptl kujifunguaa sija jifungua mpkaaa asaiv imeniandikiaa tarehe 25 lkn naona bd maumivu makalii tu yakiuno kumaa na kuachiaaa na mguu kumaa tumbo haliniumi lkn kiuona tu na kutokaa maji maji meupee mazito sijajua tatizo nn</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 579

MASWALI YANAYOFANANA