Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ninaweza kupata dawa yakukawiya wakati yakitendo cha ndowa ?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 625
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ni ipi Tofuti kati ya kusimamisha swala na kuswali
Nataka kufahamu katika Sala ya Eid imamu anapo soma takbira Allah Akbar!! Maamuma baada ya kuuitikia kuna mapumziko fulani baina ya Takbira, pale una faaa usome DUA gani?
Sheikh nina swali langu kidogo nataka kuliza Kabla ya kunirudia ile talaka ya pili akaniandikia kwenye simu ya 3 je itakua zimesha malizika zote 3 Mume wangu aliniacha talaka moja alafu aka nirejea tukakaa baada ya kipindi kdg akaja kuniacha talaka ya 2 akanirejesha kwetu
Asalaaam aleykum ndugu naweza kupata. Maana ya jina la Ulya ndani ya quran tukufu. Sura na ayat
Mimi nina mtoto wangu wa kiislam, lakini kapata mchumba wa ki kirsto, je naruhusiwa kula Mahari yake? Naomba msaada huo
Nina swali sheikh nahitaji msaada wa Elimu.
Nimeingia kwenye mgogoro na Mke wangu asubuhi hii kwa kuwa alikuwa akitamka maneno ambayo mimi sitaki kuyasikia kutoka kwake. Nimemuonya mara ya kwanza hakusikia, nikamuonya tena hakusikia, nikamuonya mara ya tatu kwa kumuambia kwamba *"Ukiniandikia tena Maneno haya basi nitakuwa nimekuacha"*. Naye akayaandika tena? Je, hapa talaka imetoka? Na hukmu yake ni ipi?