Swali #749
15-03-2023 08:51:11
<p>Naomba kuuliza mwezi wa 2 trh 14 nili sex na mtu mwenye ukimwi trh 15 nikaenda hospital nikapewa pepu nimetumia pepu na Leo ni siku ya mwisho nimalize dozi ila toka juzi Kuna dalili zinajitokeza Kama homa kichwa kuuma maumivu kwenye Koo samahani naweza nikawa nimeasilika</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 749