Pata jibu kamili kuhusu swali lako
naomba kusaidiwa kujua siku za hatari,
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 826
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hi ,mm nko week 40 sai na naskia uchungu upande wa chini wa tumbo kama maumivu ya periods lakini sitoki chochote inawezakuwa ni nini?
Naomba ushauri nina ndugu yangu ana presha huwa inapanda hadi 190 je nimsaidia je
nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini kushoto wa tumbo yanayopelekea nahisi kama mmeng'enyo na kuwaka moto sana .
Vilevile Katika UKE natokwa na majimaji yenye harufu mbaya na ute wa rangi ya njano maziwa hv.
Sijajua tatizo ni Nini haswa na nawezaje kupata matibabu ya matatizo haya , nikapona kabisaa
Mimi Nina mimba ya miezi 5 lakini Nina tatizo la kutokwa na maji maji ukeni wakati mwingine na damu yenye mabonge mabonge kama mwezi mzima sasa
Pole Kwa majukumu! Samahani Mwanangu ana miezi 8,ila toka juzi hapati haja ndogo,km ilivyo kawaida Jana Hadi Leo kakojoa mara1, Naomba msaada
Je, mtu anaweza pata ujauzito akishiriki tendo siku ya 11 katika mzunguko wake,, na dalili za ujauzito zinaonekana kwa muda gani baada ya kushiriki tendo?? na kutokwa na uteute wenye rangi nyeupe mzito unaweza kuwa dalili ya ujauzito??.