Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mwanamke mjamzito anaweza kufanya mapenzi muda wowote akiwa na ujauzito wake maadamu amwe anajiweza ama anaridhia kufanya hivyo. Hata hivyo kuna mambo ya kuzingatia:-
1. Tendo lisifanyike kwa kumlazimisha
2. kuangalia mikao ambayo haitamdhuru mtoto
3. Usimlalie tumbo lake
4. tendo lisifanyike kwa nguvu
5. Pia lisifanyike kwa muda mrefu sana.