Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Na mimba ya Kwanza ikitoka inafaa amalize mda gani ndo ashike ingine
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 238
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ninasuali unaweza ukawa umepitiliza siku zako kwamuda wa siku 11 na ukapima ujauzito usioneshe je unaweza ukawa ni mjamzito naomba kujua
Mimi ni mjazito siku zangu zimekaribia za kujifungua na Niko na shida za saa nyengine ya pumzi shida ni nini
Ukiwa na chunusi uso na mwili kuwasha pia sehemu za siri kuwasha after kukuwa na mtu akipimwa HIV after 6 week's hayo majibu inakuwa sawa ukitimia vipimo full medical check up
Smhn ugonjwa wa ukimwi unawez kuambukizwa kutkn na mate
Mambo...hope uko poa...samahan nataka kujua kuhusu ujauzito mchanga,,,m nasikia tumbo langu ni kama Alina matumbo kabsa n tupu inaweza kuwa dalili ya mimba?
samahani mimi nimeingia piriod tarehe 2 mwezi huu na nimemaliza rarehe 9 je mzunguko wangu ni wa siku ngapi?na siku zangu za hatari ni zip? asante