Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Samahan naomba kuuliza je Romanc yaani Denda linaambukiza Vvu?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 9
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari ya kazi! Samahani nauliza, hivi dalili za Kwanza za maambukizi ya virusi vya ukimwi zinakuwepo kipindi chote Cha mwezi mzima yaani hizo wiki nne, au inakuwaje!?
je dalili hizo za ukimwi zinachukua muda gan kutowekana zinakua ningapi
Je ninaweza kuzuia maambukizi siku moja baada ya tendo na alieathirika??
Je binti mdogo ambaye bado ni bikira anatibiwa na dawa gani akipata changamoto bya fungus ukeni
Hello nimeanza hedhi tarehe 8-12 na nina mzunguko wa siku 21 ,je siku ya kupata mimba ni zipi? Nahitaji mtoto
Habari Za. jioni Pole na majukuku. naomba unisaidie chakula matunda MA vyinywaji nitskavyoweza kuvitumia maana mwili unaisha nguvu