Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mm nilienda nilifanya ngono siku ya Saba je nimjamzito
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 246
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
kusinya kwa korodani moja pamoja na kuwa na maumivu nako tezi dume?
Na ukifanya ngono na mwanamke mwenye virusi pasipo kupata mchubuko wakati wa tendo Kuna uwezekano wa kupata virusi?
Nilipatwa na kisonono Miezi mitatu iliyopita nimetumia Dawa za Hospital lakini napata nafuu kidogo then hali inarudi palepale Nilipoenda kupima tena wakasema ni u.t.i nimepewa Dawa ikapoa naona inarudi tena nimetumia Dawa za kienyeji lakini hali bado siyo nzuri
nina kizunguzungu nini tatizo maana siumwi kitu
Naomba kuuliza mfano umeng'atwa na muathirika wa ukimwi amabae anatumia dawa je nawe anaweza kukuambukiza
Nina umri wa miaka 19 jinsia wa kiume ninatatizo la kuwashwa kwenye korodani na ninatokwa na vipele baada ya kujikuna mbaka leo hii ninasiku ya 6 na tatzo hili n mala ya kwanza kunitokea naomba msaada