Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Assalamu Alaikum me natak kujua mpangilio wa kutia udhu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 14
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Naomba kuuliza je watu waliasilika wajaanza dawa kwana mke na mume wanaendelea kushiliki tendo LA ndoa madharayake nini?
Ninasumbuliwa na fangasi ambao niliwapata baada yakunyonya uke
Leo Ni siku ya pili nimeamka kiuno kinauma he Ni kawaida kwa mjamzito kiuno kuuma au na lenyewe Ni tatizo
Hi nina tatizo la kuhabikiwa mimba je uenda Nina tatizo la homoni kama ninatatizo hilo nahitaji kupata matibabu yapi? Naomba nijibu tafazali
Ulimi Ume meguka meguka Kam kuliwa liwa iv nini tatizo?
Samahani docta ukitumia p2 cku ambayo nimefanya mapenzi alafu cku ya tatu pia nikafanya mapenzi na nikasahau kumeza p2 je inaweza kuleta shida