Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kutokwa maji yenye harufu na maumivu ya tumbo
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 102
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
uwashwa mwili na kutoa mapele manene, kukosa hamu ya kula na kuhisi maumivu ya tumbo ni dalili ya aina ipi ya minyoo na dawa gani itumike?
samahan naitaj kujua majib sahii juu ya kipimo Abbott make kimetoa misital miwil
Nataka kujifunza makala za ulaji wa vyakula
Mm kuna dalili sizielewi na ninajisikia kichefuchefu mate kujaa mdomon napia naumwa kichwa bado sija elewa dalili hizi kiukweri naomba msaada
Samaan me nimjazito miez tisa ss Ila ikifika usiku napata maumivu makali yatumbo na kiuno
Mambo...hope uko poa...samahan nataka kujua kuhusu ujauzito mchanga,,,m nasikia tumbo langu ni kama Alina matumbo kabsa n tupu inaweza kuwa dalili ya mimba?