Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kwanini huruhusiwi kutumia mafuta Kwenye kidonda ulichoungua na maji ya moto
Mafuta yanazuia hewa isiingie ndani na jambo hili sio salama kwa upinzani wa kidonda.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Kuharisha ni njia moja ya kutaka kujifungua ni dalili yani
mm najaribu kufanya sex kwenye siku hatari lakn Mtu wangu hashiki mimba mpk saiv Nina miezi Tano tunatafuta mimba lakn Hamna. Na pia Kwa Upande wangu naona manii ni nyepesi sio Kama zinazohitajika . Nini suluhisho lake mkuu
Kirusi cha vvu kinakaa muda gan kwenye vitu vyenye ncha kali
Habari samahani hiv kwa mtu ambaye siku zake hazieleweki na anataka kupata mtoto afanyajee??
kuhusu hizo dawa za fangas zilizo tajwa hapo juu mjamzito anaweza kuzitumia,
Asante sana Mimi nimesoma kuhusu ukimwi na dadilili zake nimeziona lakini mwezi kuisha nilienda kupima nikaambiwa Sina na wakati nimepungua gafla tu
Niliona vitezi vya kwapa zote mbili na kichwa kuuma Sana na vipele sehemu za Siri