Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Chanzo cha presha Ni nini
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 203
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Yaan vyakula vya protin nikila vinanizulu nifanyejee Yaan mwili unakosa nguvu kabisa
Ni chakula kipi kinafaa kuliwa na mgonjwa wa kisukari asubuhi?
Samahan ningependa kujua aina za protin
Samahani Mimi namahusiano na mtu anaetumia dawa za vviu mimi cina je nisipotumia kiga na pakawepo na msunguano nawezakupata maambukizi
Dr tatizo lingine Ni kwamba nabanwa na mkojo kila muda mabayo Ni kawaida kwa mjamzito Ila Kuna wakati nahisi kibofu kinauma kana kwamba mkojo umejaa Sana Ila nikienda kukojoa natoa mkojo kidogo saana na bado kibofu nahisi kimejaa Hilo Ni tatizo gani
Nimesoma habari Google kuhusu ukimwi je mtu akipata maambukizi Leo kwenye kipimo cha HIV huanza kuonekana kwa mdagani