Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kuamin malaika katika maisha yakil siku na athar zak
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 91
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mm naomba ufafanuzi ikiwa mume alikaa sehemu nakusema maneno haya " mm mke wangu nishamuwacha" na mke wake hakumwambia hilo lkn ameisema kauli hio. Jee talaka hii itakuwa imesihi ?
Samahn mwalim naomba unisaidie aina Saba za usomaji wa Quran
Taja aina saba za usomaji na mashehe wake na nchi zake kabla ya kuhifadhiwa quran katk msahafu lakwanza ilo
Asalam aleykum nauliza kwamba uko ndani ya ndoa ila umesahau kukoga janaba unaluhusiwa kufunga
Ninapo fanyia kazi niwa kristu mana nyumba nzima ime zunguukwa na misalaba na biblia je inaswihi kuswali katika nyumba hiyo
Ni ipi Tofuti kati ya kusimamisha swala na kuswali
Aslm alykum naombakuuliza,Kam mine ana wake 2 ikitokea mwenyezamu hayupo keep mine anahaki ya kulala kwa Yule asiyekua zamu yake