SWALI

Shekh zangun kwanza nashkur kwakutoa fursa hii ya kuuliza isichokijua ktk din yetu swali langu nikwamba miminikienda kuswali mskiti ambao hausomi Bismillah kwenye swala za sauti swala yangu itakuwa sawia ama batili?

Swali No. 405


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 405 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 19-02-2023-11:33:10 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA